forked from WA-Catalog/sw_tn
32 lines
1.3 KiB
Markdown
32 lines
1.3 KiB
Markdown
|
# Katika siku za Ahazi ... mfalme wa Yuda
|
||
|
|
||
|
"Pale Ahazi... alipokuwa mfalme wa Yuda" Huu ulikuwa wakati matukio yalitokea.
|
||
|
|
||
|
# Resini ... Peka ... Remalia
|
||
|
|
||
|
majina ya wanaume.
|
||
|
|
||
|
# Resini ... na Peka ... alikwenda juu
|
||
|
|
||
|
Mwandishi anazungumza kana kwamba wafalme walikuwa majeshi walioyaongoza. "Resini ... na Peka ... waliongoza majeshi yao juu"
|
||
|
|
||
|
# kufanya vita dhidi yake
|
||
|
|
||
|
Mwandishi anazungumza kana kwamba mji wenyewe ulikuwa watu ambao huishi ndani yake. "kupiga vita dhidi ya watu wa Yerusalemu"
|
||
|
|
||
|
# Ikasemekana katika nyumba ya Daudi
|
||
|
|
||
|
Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "Nyumba ya Daudi ikasikia taarifa" au "mtu alitoa taarifa kwa nyumba ya Daudi"
|
||
|
|
||
|
# nyumba ya Daudi
|
||
|
|
||
|
Neno "nyumba" ni mfano wa maneno kwa ajili ya familia inayoishi katika nyumba. "Mfalme Ahazi na washauri wake"
|
||
|
|
||
|
# ya kwamba Aramu alishirikiana na Efraimu
|
||
|
|
||
|
Hapa "Aramu" na "Efraimu" wanatambua wafalme wao. Efraimu anatumiwa hapa kumaanisha ufalme mzima wa kaskazini wa Israeli. "ya kwamba Resini, mfalme wa Aramu alikuwa akimsaidia Peka, mfalme wa Israeli"
|
||
|
|
||
|
# Moyo wake ulitetemeka, na moyo wa watu wake, kama miti ya msituni inavyotetemeka katika upepo
|
||
|
|
||
|
Kutetemeka kwa mioyo yao katika habari hii inalinganishwa na namna miti hutikisika pale upepo unapovuma katikati yao. "Ahazi na watu wake waliogopa sana"
|