sw_tn/isa/03/21.md

40 lines
738 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# pete
pambo ambalo huvaliwa kuzunguka kidole
# mapambo ya vito ya puani
pambo ambalo huvaliwa ndani ya au katika pua
# joho la sikukuu
vazi refu linalolegea lenye mapambo ambalo lilivaliwa juu ya nguo zingine kwa kila mtu kuona
# majoho
nguo inayovaliwa juu ya mabega kwa nje ya nguo
# shela
nyenzo nyembamba sana inayotumika kufunika kichwa na uso wa mwanamke
# mifuko ya mikononi
mfuko uliotumika kubeba vitu vidogo vidogo
# vioo vya mkononi
uso mdogo, unaobebwa mkononi na kutumika kujitazama mwenyewe
# kitani safi
kitambaa laini kinachovaliwa na watu matajiri
# vipande vya kichwani
kitambaa au kofia ndogo inayovaliwa juu ya nywele
# vifungashio
pambo la nguo ambalo mwanamke hujiviringishia kujifanya awe mzuri