# pete pambo ambalo huvaliwa kuzunguka kidole # mapambo ya vito ya puani pambo ambalo huvaliwa ndani ya au katika pua # joho la sikukuu vazi refu linalolegea lenye mapambo ambalo lilivaliwa juu ya nguo zingine kwa kila mtu kuona # majoho nguo inayovaliwa juu ya mabega kwa nje ya nguo # shela nyenzo nyembamba sana inayotumika kufunika kichwa na uso wa mwanamke # mifuko ya mikononi mfuko uliotumika kubeba vitu vidogo vidogo # vioo vya mkononi uso mdogo, unaobebwa mkononi na kutumika kujitazama mwenyewe # kitani safi kitambaa laini kinachovaliwa na watu matajiri # vipande vya kichwani kitambaa au kofia ndogo inayovaliwa juu ya nywele # vifungashio pambo la nguo ambalo mwanamke hujiviringishia kujifanya awe mzuri