sw_tn/isa/03/08.md

24 lines
1.1 KiB
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Kauli Kiunganishi
Nabii anaanza kutoa neno juu ya hii hali
# Yerusalemu imejikwaa, na Yuda imeanguka
Kutomtii Mungu inazungumziwa kana kwamba ilikuwa ikijikwaa na kuanguka
# macho ya utukufu wake
Hapa "macho" ina maana ya Mungu mwenyewe, ambaye ni mtukufu.
# Mtazamo katika uso wao unashuhudia dhidi yao
Mionekano wa majiivuno katika nyuso za watu inazungumziwa kana kwamba mionekano ilikuwa watu ambao wanaweza kushuhudia dhidi ya watu wanaojivuna. "Mionekano ya kiburi juu ya nyuso zao zinaonyesha ya kwamba wanapingana na Yahwe"
# wanasema juu ya dhambi yao kama Sodoma; hawaifichi
Hapa watu wa Yuda wanasemekana kuwa kama watu wa Sodoma, kwa sababu walijivuna wazi wazi kuhusu dhambi zao. "kama watu wa Sodoma, wanazungumza kuhusu dhambi zao na kuwaruhusu kila mtu ajue juu yao"
# Kwa maana wamekamilisha maangamizi kwa ajili yao
Maangamizi bado yanakuja, lakini watu walimaliza kufanya kile kitakachosababisha kufuatia. Sababu za maangamizi zinazungumziwa kana kwamba zilikuwa ni balaa zenyewe. "Kwa maana wamefanya kila kitu ambacho kitasababisha maangamizi kutokea"