sw_tn/isa/03/06.md

12 lines
498 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# na uharibifu huu uwe mikononi mwako
Hapa "mikono" inawakilisha mamlaka. "chukua usimamizi wa uharibifu huu" au "tawala juu ya uharibifu huu"
# uharibifu huu
Maana zaweza kuwa 1) majengo mengi katika mji wa Yerusalemu yaliangamizwa au 2) watu katika Yerusalemu hawana mafanikio tena au uongozi. "mji huu, ambao sasa umeharibiwa"
# sitakuwa mponyaji
Kutatua matatizo ya watu inazungumziwa kana kwamba ilikuwa kuwaponya. "Hapana, siwezi kutengeneza tatizo hili" au "Hapana, siwezii kukusaidia"