# na uharibifu huu uwe mikononi mwako Hapa "mikono" inawakilisha mamlaka. "chukua usimamizi wa uharibifu huu" au "tawala juu ya uharibifu huu" # uharibifu huu Maana zaweza kuwa 1) majengo mengi katika mji wa Yerusalemu yaliangamizwa au 2) watu katika Yerusalemu hawana mafanikio tena au uongozi. "mji huu, ambao sasa umeharibiwa" # sitakuwa mponyaji Kutatua matatizo ya watu inazungumziwa kana kwamba ilikuwa kuwaponya. "Hapana, siwezi kutengeneza tatizo hili" au "Hapana, siwezii kukusaidia"