sw_tn/hos/14/04.md

24 lines
672 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya jumla:
Bwana anazungumza.
# Nitawaponya kugeuka kwao
Kuwafanya watu wasigeuke toka kwa Mungu kunazungumwa kama kitendo cha kuponya.
# kugeuka kwao
Watu kushindwa kumtii Mungu kunazungumzwa kama kitendo cha kugeuka toka kwake.
# Nitakuwa kama umande kwa Israeli; atachanua kama maua
Bwana anazungumza akijifananisha na umande unaohitajika ili kuupa rutuba mmea na Israeli inafananishwa na ua litakalochanua.
# kuchukua mizizi kama mwerezi nchini Lebanoni
Taswira ya Israeli kama mmea inaendelea lakini hapa inafananishwa na mierezi wa Lebanoni.
# Matawi yake yataenea ... kama mierezi ya Lebanoni
Sehwmu hii inaendelea kuzungumzia kitu hicho hicho.