sw_tn/hos/08/01.md

16 lines
326 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya jumla:
Bwana anazungumza kuhusu ujio wa jeshi la Waashuru kuvamia ufalme wa kaskazini.
# Tai anakuja juu ya nyumba ya Bwana
Tai mara nyingine ametumika kuwakilisha maadui wa Israeli.
# wamevunja agano langu
Hapa "kuvunja" inamaanisha "kutotii"
# tunakujua
Hii ina maana ya kwamba "sisi ni waaminifu kwako"