# Taarifa ya jumla: Bwana anazungumza kuhusu ujio wa jeshi la Waashuru kuvamia ufalme wa kaskazini. # Tai anakuja juu ya nyumba ya Bwana Tai mara nyingine ametumika kuwakilisha maadui wa Israeli. # wamevunja agano langu Hapa "kuvunja" inamaanisha "kutotii" # tunakujua Hii ina maana ya kwamba "sisi ni waaminifu kwako"