sw_tn/hos/05/08.md

20 lines
567 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya jumla:
Mungu anazungumza juu ya Israeli.
# Piga tarumbeta huko Gibea, na tarumbeta huko Rama.
Amri inatolewa kwa watu wa Gibea na Rama kusistiza kuwa adui anakuja.
# Sauti ya kilio cha vita huko Beth Aveni 'Tutakufuata, Benyamini!'
Hili ni ombi kuwa askari wa Benyamini wawaongoze watu katika vita.
# Beth Aveni
Huu ni mji uliokuwepo mpakani kati ya ufalme wa kaskazini mwa Israeli na kabila la Benyamini kusini mwa ufalme.
# Miongoni mwa makabila ya Israeli nimetangaza habari itakayotokea.
"Nitafanya katika kabila la Israeli yale niliyosema"