forked from WA-Catalog/sw_tn
12 lines
483 B
Markdown
12 lines
483 B
Markdown
|
# Taarifa ya jumla:
|
||
|
|
||
|
Bwana anazungumza na Hosea.
|
||
|
|
||
|
# Kwa hiyo nitajenga ua wa kuzuia njia yake kwa miiba. Nitajenga ukuta dhidi yake ili asiweze kupata njia
|
||
|
|
||
|
Maneno haya yanaonesha kuwa Bwana atawazuia watu wake wasipate mafanikio kwa sababu wanaiabudu miungu.
|
||
|
|
||
|
# Kisha atasema, "Nitarejea kwa mume wangu wa kwanza, kwa maana ilikuwa ni bora kwangu zamani kuliko sasa."
|
||
|
|
||
|
Israeli watarejea kwa Bwana sio kwa sababu ya upendo wao kwake lakini kwa sababu wameumizwa kwa kumwabudu Baali.
|