forked from WA-Catalog/sw_tn
16 lines
582 B
Markdown
16 lines
582 B
Markdown
|
# Taarifa ya jumla:
|
||
|
|
||
|
Bwana anazungumza na Hosea.
|
||
|
|
||
|
# kwa maana wao ni watoto wa ukahaba.
|
||
|
|
||
|
Waisraeli wanafanya kama vile sio wa Bwana. Kama wazazi wao walivyofanya hawakumwabudu Mungu, na wao pia.
|
||
|
|
||
|
# Maana mama yao amekuwa kahaba
|
||
|
|
||
|
Kizazi kilichopita waliitumikia miungu mingine na kuonekana kuwa ni makahaba kwa kuwa hawakuwa waaminifu kwa Mungu.
|
||
|
|
||
|
# Nitawafuata wapenzi wangu, kwa maana wananipa mkate wangu na maji, sufu yangu na kitani, mafuta yangu na kinywaji.
|
||
|
|
||
|
Hapa "wapenzi wangu" inamaanisha Baali na miungu mingine ya uongo ambao Israeli walichagua kuiabudu badala ya Bwana.
|