sw_tn/hos/01/10.md

36 lines
706 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya jumla
Bwana anazungumza na Hosea.
# kama mchanga wa bahari
Hii inasisitiza idadi kubwa ya Waisraeli.
# ambayo haiwezi kupimwa au kuhesabiwa
"ambayo hamna hata mmoja anayeweza kupima au kuhesabu"
# Itakuwa pale ambapo waliambiwa
"Ambapo Mungu aliwaambia"
# pale ambapo waliambiwa
Yamkini maneno haya yanaelekezwa kwa Yezreeli, mji ambao makosa yalifanywa na wafalme wa Israeli na ambayo ilikuwa ishara ya adhabu ya Mungu juu yao.
# Wataambiwa
"Mungu atawaambia"
# watakusanyika pamoja
"Mungu atawakusanya pamoja"
# watatoka kutoka nchi
Hii inamaanisha nchi ambayo watu wa Israeli walichukuliwa mateka.
# siku ya Yezreeli
Mungu atawaweka watu wake nyuma katika nchi ya Israeli.