forked from WA-Catalog/sw_tn
28 lines
771 B
Markdown
28 lines
771 B
Markdown
|
# dhabihu ya sifa
|
||
|
|
||
|
Sifa inaongelewa kana kwamba ni dhabihu ya wanyama au uvumba.
|
||
|
|
||
|
# sifa ambayo ni tunda la midomo ambayo inakiri jina lake
|
||
|
|
||
|
sifa inaongelewa kana kwamba ni tunda, na "midomo" inaongelewa kana kwamba ni miti inayozaa matunda. Kwa nyongeza "midomo" inawakilisha watu wakimsifu Mungu.
|
||
|
|
||
|
# Jina lake
|
||
|
|
||
|
Jina la mtu linamwakilisha mtu.
|
||
|
|
||
|
# tusisahau kufanya mazuri na kusaidiana
|
||
|
|
||
|
"mara zote tukumbuke kufanya mema na kusaidia wengine"
|
||
|
|
||
|
# na dhabihu hiyo
|
||
|
|
||
|
Kufanya wema na kuwasaidia kunaongelewa kana kwamba ni dhabihu juu ya mimbari.
|
||
|
|
||
|
# zitunzeni nafsi/roho zenu
|
||
|
|
||
|
roho za waumini,ambayo ni mwenendo wa maisha ya kiroho, yanaongelewa kana kwamba ni vyombo au wanyamaambao waangaliz wangeweza kutazama.
|
||
|
|
||
|
# sio kwa huzuni
|
||
|
|
||
|
"huzunu" inasimama kama msiba au huzuni.
|