sw_tn/heb/08/08.md

28 lines
767 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Maelezo ya Jumla:
Ktika nukuu hii nabii Yeremia alikuwa amesema agano jipya ambalo Mungu angefanya
# na watu
"na watu wa Israeli"
# Angalia
"Tazama" au "Sikiliza" au "Kuwa na tahadhari kwa lile ninalotaka kuwaambia."
# Siku zinakuja
Ziku zijazo zinaongelewa kana kwamba zinatembea kumkabiri mzungumzaji. AT:"ktakuwa na wakati"
# nyumba ya Israeli na nyumba ya Yuda
Watu wa Israeli na watu wa Yuda wanaongelewa kana kwamba wao ni nyumba. AT:"watu wa Isareli na watu wa Yuda"
# Niliwachukua kwa mkono na kuwaongoza kutoka katika ardhi ya Misri.
Picha inawakilisha upendo mkuu wa Mungu na kujali kwake.
# hawakuendelea katika katika agano langu
Kutii agano la Mungu kunaongelewa kana kwamba mtu alipaswa kuendelea katika hilo. AT: "hawakutii agano langu"