sw_tn/heb/07/25.md

12 lines
478 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Kwa hiyo
unaweza kufafanunua "neno "Kwa hiyo" linachomaanisha. AT: " Kwa sababu Kristo ni kuhani wetu mkuu anayeishi milele"
# wale wanaomkaribia Mungu
"wale wanaokuja kwa Mungu kwa sababu ya kile Yesu alichofanya"
# ametukuka zaidi kuliko mbingu
"na Mungu amemuinua juu kupita mbingu." Mwandishi anaongelea kumiliki heshima zaidi na nguvu zaidi ya mtu yeyote kana kwamba ni nafasi ambayo ni zidi ya vitu vyote. AT: "na Mungu amempaheshima na nguvu kuliko mtu yeyote"