sw_tn/heb/06/01.md

24 lines
1.0 KiB
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi Unganishi:
mwandishi anendele na kile Waebrania waumini walipaswa kufanya ili wawe wakristo wakomavu. Anawakumbusha mafundisho ya msingi.
# tukiacha tulichojifunza kwanza kuhusu ujumbe wa Kristo, twapaswa kuwa na juhudi kuelekea kwenye ukomavu
Hii inaongelea kuhusu mafundisho ya msingi kana kwamba yalikuwa ni mwanzo wa safari na mafundisho makomavu kana kwamba ni mwisho wa safari.
# tusiweke tena misingi ya toba kutoka katika kazi zisizo na uhai na imani katika Mungu,
Mafundisho ya msingi yanaongelewa kana kwamba yalikuwa ni jengo ambalo mjenzi alianza kwa kuweka msingi. AT: "tusirudie mafundisho ya awali... ya imani katika Mungu"
# kazi zisizo na uhai
matendo ya dhambi yanaongelwa kana kwamba yalitoka katika ulimwengu wa wafu.
# ala misingi ya mafundisho ya...hukumu ya milele
Mafundisho ya msingi yanaongelea kana kwamba yalikuwa ni jengo ambalo mjenzi wake alianza kwa kuweka msingi. AT: "wala mafundisho ya msingi... uzima wa milele"
# kuwekea mikono
Huduma hii iliwekwa kwa kumtenga mtu kwa huduma au nafasi maalum.