forked from WA-Catalog/sw_tn
20 lines
1.1 KiB
Markdown
20 lines
1.1 KiB
Markdown
|
# Maelezo ya Jumla:
|
||
|
|
||
|
Neno "wao" linamaanisha kwa kutotii kwa Waisraeli, na "sisi" inamaanisha mwandishi na wasomaji.
|
||
|
|
||
|
# Ni wakina nani walio msikia Mungu na kuasi? Si wale waliokuja kutoka Misri kupitia Musa?
|
||
|
|
||
|
Mwandishi anatumia maswali kudundisha wasomaji wake. Maswali haya mawili yanaweza kuunganishwa kama sentensi moja, kama itahitajika. AT: "wale wote waliokuja na Musa kutoka Misri walimsikia Mungu, lakini bado waliasi."
|
||
|
|
||
|
# Ni akina nani ambao Mungu aliawakasirikia kwa miaka arobaini? Sio wale waliotenda dhambi, ni miili ya kina nani iliyanguka jangwani/ nyikani?
|
||
|
|
||
|
Mwandishi anatumia maswali kuwafundisha wasomaji wake. Maswali haya mawli yanaweza kuunganishwa na kuwa swali moja, kama litahitajika. AT: "Mungu alikuwa na hasira kwa miaka 40 na wale waliotenda dhambi na kuwaacha wafe nyikani."
|
||
|
|
||
|
# hawakuweza kuingia katika raha yake
|
||
|
|
||
|
Amani na ulinzi ambao Mungu vinaomgelewa kana kwamba ni pumziko alilowapa, na kama kwama vilikuwa ni sehemu za kwenda. AT: "hawataingia sehemu ya pumziko" au "hawatapata baraka zake za pumziko"
|
||
|
|
||
|
# kwa sababu ya kutokuamini kwao
|
||
|
|
||
|
"kutokuamini" inaweza kusemwa kama kitenzi "tumaini." AT: "kwa sababu hawakuweza kumtumaini"
|