sw_tn/heb/01/04.md

28 lines
1.1 KiB
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# maelezo ya Jumla:
Hii ni nukuu ya kinabii (Wewe mwanangu) inatoka katika Zaburi. Nabii Samweli aliandika unabii wa pili (nitakuwa baba kwake). Maneno yote ambaye yanamaanisha Yesu. Neno "Wewe" linamaana ya Yesu, na neno "Mimi" linamaanisha Mungu Baba.
# Amekuwa
''Mwana amefanyika"
# Kama jina alilorithi ni bora zaidi ya majina yao Kwa malaika gani aliwahi kusema ...baba"?
Mwanaidishi anaongea katika swala la kupokea heshima na mamlaka kana kwamba alikuwa akirithi utajiri na mali kutoka kw baba yake.AT: "amepokea."
# Ni malaika wapi Mungu alimewahi kuwambia "Wewe ni mwanangu... mwana kwangu"?
Swali linasistiza kuwa Mungu hamwita malaika yeyote mwana wake. AT: " kwa sababu Mungu hajawahi kumwabia malaika yeyote 'Wewe ni mwana wangu... mwana kwangu."
# Na tena...kwangu
"Na tena, hakuwahi kusema kwa malaika yeyote, '...kwangu'?"
# Wewe ni mwanangu...nimekuwa baba yako...nitakuwa baba kwake...atakuwa mwana kwangu
Uhusiano maalumu Mungu Baba alionao na Mungu Mwana umeelezwa katika Agno la Kale mamia ya miaka kabla ya Yesu kuzaliwa.
# Wewe ni mwanangu... nimekuwa baba yako
maneno haya kimsingi yanamaanisha kitu kimoja.