sw_tn/hag/01/10.md

20 lines
365 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# mbingu
"Anga"
# kutoa umande
"kutoa mvua"
# ukame
ukame ambao utazuia au kukwamisha mimea na kukausha maji yote ambayo yanahitakija kwa ajili ya wanyam na watu walio katika eneo hilo.
# juu ya mzabibu mpya na juu ya mafuta
mvinyo unafawikilisha zabibu na mafuta yanawakilisha mzeituni
# kazi za mikono yako
"kazi zako zote ulizofanya kwa bidii!" na UDB