# mbingu "Anga" # kutoa umande "kutoa mvua" # ukame ukame ambao utazuia au kukwamisha mimea na kukausha maji yote ambayo yanahitakija kwa ajili ya wanyam na watu walio katika eneo hilo. # juu ya mzabibu mpya na juu ya mafuta mvinyo unafawikilisha zabibu na mafuta yanawakilisha mzeituni # kazi za mikono yako "kazi zako zote ulizofanya kwa bidii!" na UDB