sw_tn/hab/02/15.md

40 lines
755 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa kwa Ujumla:
Yahwe anaendelea kumjibu cssdved Habakuki. Yeye anarejerea kwa Wakaldayo ingawa kama wako mtu mmoja.
# ongeza sumu yako
"ongeza sumu yako kwenye kinywaji"
# Utavimbiwa na aibu zaidi kuliko utukufu
"Kama unatafuta utukufu mkuu, Mungu ataleta juu yake aibu kuu"
# Wewe
umoja
# Kuinywa
Kunywa kikombe cha sumu
# Kikome cha mkono wa kuume wa Yahwe kitakugeukia wewe
"Kama Yahwe amehukumu mataifa mengine na uweza wake wote, hivyo atakuhukumu wewe na uweza wake wote"
# Kikombe
Divai iliyotiwa sumu
# Mkono wa kuume
mkono wa nguvu zaidi
# utakuja katika hali yake kukugeukia wewe
"utakuja kwako kama ulivyofanya kwa wengine"
# Aibu itafunika heshima yako
"kila mmoja ataona aibu yako na hakuna atakayeona heshima yako"