# Taarifa kwa Ujumla: Yahwe anaendelea kumjibu cssdved Habakuki. Yeye anarejerea kwa Wakaldayo ingawa kama wako mtu mmoja. # ongeza sumu yako "ongeza sumu yako kwenye kinywaji" # Utavimbiwa na aibu zaidi kuliko utukufu "Kama unatafuta utukufu mkuu, Mungu ataleta juu yake aibu kuu" # Wewe umoja # Kuinywa Kunywa kikombe cha sumu # Kikome cha mkono wa kuume wa Yahwe kitakugeukia wewe "Kama Yahwe amehukumu mataifa mengine na uweza wake wote, hivyo atakuhukumu wewe na uweza wake wote" # Kikombe Divai iliyotiwa sumu # Mkono wa kuume mkono wa nguvu zaidi # utakuja katika hali yake kukugeukia wewe "utakuja kwako kama ulivyofanya kwa wengine" # Aibu itafunika heshima yako "kila mmoja ataona aibu yako na hakuna atakayeona heshima yako"