sw_tn/hab/02/09.md

44 lines
890 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa kwa Ujumla:
Yahwe anaendelea kumjibu Habakuki. Ingawa narejerea kwa Wakaldayo kama kwa mtu mmoja.
# ambaye gawa mapato mabaya nyumbani mwake
"ambaye anafanya kazi kupata faida isiyo ya uaminifu kwaajili ya familia yake"
# weka kiota chake juu
"jenga nyumba yake mbali na matatizo"
# mkono wa mwovu
NI: "mkono wa mwovu" Kutenda "uovu" kama mtu au "watu waovu"
# Umebuni aibu kwaajili ya nyumba yako kwa kuondoa watu wengi
"Kwasababu umeondoa watu wengi, familia yako itakuwa inateseka kwa aibu"
# Wewe
Umoja
# Kuondoa
Kuharibu
# umetenda dhambi kinyume chako wewe mwenyewe
"umiza wewe mwenyewe"
# mawe ... pao la mbao
"mawe" na "pao la mabo" kuwakilisha watu walioumizwa katika jengo la nyumba, ambao kinyume chake wanawakilishwa watu walioharibiwa na Wakaldayo.
# paza sauti
fanya mashitaka kwa Mungu kinyume wajenzi wa nyumba
# wajibu
kubaliana na mashitaka