sw_tn/gen/50/12.md

32 lines
534 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# wanawe
"Kwa hiyo wana wa Yakobo"
# kama alivyokuwa amewaagiza
"kama alivyokuwa amewaagiza"
# Wanawe wakambeba
"Wanawe waliuchukua mwili wake"
# Makpela
Makpela ni jina la jina la eneo au sehemu.
# Mamre
Hili lilikuwa jina jingine la mji wa Hebroni. Inawezekana lilikuwa jina baada ya Mamre, rafiki wa Abrahamu aliyeishi kule.
# Efroni Mhiti
Hili ni jina la mwanamume. "Mhiti" ina maana ya "uzao wa Hethi"
# Yusufu akarudi Misri
"Yusufu alirudi Misri"
# wote waliokuwa wamemsindikiza
"wale wote waliokuja pamoja nami"