sw_tn/gen/50/01.md

20 lines
402 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# akauangukia uso wa baba yake
Msemo "akauangukia" ni lahaja ya kuzidiwa. "hadi akaanguka juu ya baba yake kwa majonzi"
# watumishi wake matabibu
"watumishi wake ambao waliangalia maiti"
# kumtia dawa babaye
"kumtia dawa" ni njia maalumu ya kuhifadhi maiti kabla haijazikwa. "kuandaa mwili wa baba yake kabla ya mazishi"
# Wakatimiza siku arobaini
"Wakatimiza siku 40"
# siku sabini
"siku 70"