# akauangukia uso wa baba yake Msemo "akauangukia" ni lahaja ya kuzidiwa. "hadi akaanguka juu ya baba yake kwa majonzi" # watumishi wake matabibu "watumishi wake ambao waliangalia maiti" # kumtia dawa babaye "kumtia dawa" ni njia maalumu ya kuhifadhi maiti kabla haijazikwa. "kuandaa mwili wa baba yake kabla ya mazishi" # Wakatimiza siku arobaini "Wakatimiza siku 40" # siku sabini "siku 70"