sw_tn/gen/49/25.md

20 lines
529 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla:
Yakobo anaendelea kumbariki Yusufu na uzao wake.
# atakusaidia ... atakubariki
Hapa "atakusaidia" ina maana ya Yusufu inayomaanisha uzao wake. "saidia uzao wako ... wabariki"
# baraka za mbinguni juu
Hapa "mbinguni juu" ina maana ya mvua ambayo husaidia mazao kuota.
# baraka za vilindi vilivyo chini
Hapa "chini" ina maana ya maji chini ya ardhi ambayo hutosheleza mito na visima.
# baraka za maziwa na tumbo
Hapa "maziwa na tumbo" ina maana ya uwezo wa mama kupata watoto na kuwanyonyesha maziwa.