# Maelezo ya Jumla: Yakobo anaendelea kumbariki Yusufu na uzao wake. # atakusaidia ... atakubariki Hapa "atakusaidia" ina maana ya Yusufu inayomaanisha uzao wake. "saidia uzao wako ... wabariki" # baraka za mbinguni juu Hapa "mbinguni juu" ina maana ya mvua ambayo husaidia mazao kuota. # baraka za vilindi vilivyo chini Hapa "chini" ina maana ya maji chini ya ardhi ambayo hutosheleza mito na visima. # baraka za maziwa na tumbo Hapa "maziwa na tumbo" ina maana ya uwezo wa mama kupata watoto na kuwanyonyesha maziwa.