sw_tn/gen/49/16.md

20 lines
691 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Dani atawaamua watu wake
Hapa "Dani" ina maana ya uzao wake. "Uzao wa Dani utawaamua watu wake"
# watu wake
Maana zinazowezekana za "watu wake" ni 1) "watu wa Dani" au 2) "watu wa Israeli"
# Dani atakuwa nyoka kando ya njia
Yakobo anazungumza kuhusu Dani na uzao wake kana kwamba walikuwa nyoka. Ingawa nyoka ni mdogo, inaweza kumshusha aongozaye farasi chini ya farasi wake. Kwa hiyo Dani, ingawa kabila dogo, ni la kutisha sana kwa adui zake. "Uzao wa Dani utakuwa kama nyoka kando ya barabara"
# Ninaungoja wokovu wako, Yahwe.
Nomino inayojitegemea "wokovu" inaweza kutafsiriwa kama "kuokoa". "Ninakusubiri, Yahwe, kunikoa"
# Ninaungoja
Neno "Ninaungoja" ina maana ya Yakobo.