sw_tn/gen/47/27.md

16 lines
390 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Walikuwa wenye kuzaa na kuongezeka sana
Neno "kuongezeka" linaelezea jinsi walivyokuwa "wamezaana". "Walikuwa na watoto wengi sana"
# Walikuwa wenye kuzaa
Hapa "kuzaa" ina maana ya kufanikiwa au kupata watoto.
# miaka kumi na saba
"miaka 17"
# kwa hiyo miaka ya maisha ya Yakobo ilikuwa miaka mia moja arobaini na saba
2021-09-10 19:21:44 +00:00
miaka saba - "kwa hiyo Yakobo aliishi hadi umri wa miaka 147"