# Walikuwa wenye kuzaa na kuongezeka sana Neno "kuongezeka" linaelezea jinsi walivyokuwa "wamezaana". "Walikuwa na watoto wengi sana" # Walikuwa wenye kuzaa Hapa "kuzaa" ina maana ya kufanikiwa au kupata watoto. # miaka kumi na saba "miaka 17" # kwa hiyo miaka ya maisha ya Yakobo ilikuwa miaka mia moja arobaini na saba miaka saba - "kwa hiyo Yakobo aliishi hadi umri wa miaka 147"