sw_tn/gen/47/11.md

12 lines
361 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Kisha Yusufu akamweka baba yake na ndugu zake
"Kisha Yusufu akamweka baba yake na ndugu zake na kuwasaidia kuimarisha sehemu watakapoishi"
# eneo la Ramesesi
Hili ni jina la nchi ya Gosheni.
# kulingana na hesabu ya wahitaji wao
Hapa, neno "wahitaji" lina maana ya watoto wadogo katika familia. "kulingana na idadi ya watoto wadogo ndani ya familia zao"