# Kisha Yusufu akamweka baba yake na ndugu zake "Kisha Yusufu akamweka baba yake na ndugu zake na kuwasaidia kuimarisha sehemu watakapoishi" # eneo la Ramesesi Hili ni jina la nchi ya Gosheni. # kulingana na hesabu ya wahitaji wao Hapa, neno "wahitaji" lina maana ya watoto wadogo katika familia. "kulingana na idadi ya watoto wadogo ndani ya familia zao"