sw_tn/gen/47/05.md

12 lines
446 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Nchi ya Misri iko mbele yako
"Nchi ya Misri ipo wazi kwako" au "Nchi yote ya Misri ipo wazi kwako"
# Mkalishe baba yako na ndugu zako katika eneo zuri, nchi ya Gosheni
"Muweke baba yako na ndugu zako katika nchi ya Gosheni, ambayo ni sehemu bora zaidi"
# Ikiwa unafahamu watu wenye uwezo miongoni mwao
Inasemekana ya kwamba walikuwa na uwezo wa kuchunga wanyama. "Kama unawajua wanamume wowote miongoni mwao wenye uwezo wa kutunza mifugo"