# Nchi ya Misri iko mbele yako "Nchi ya Misri ipo wazi kwako" au "Nchi yote ya Misri ipo wazi kwako" # Mkalishe baba yako na ndugu zako katika eneo zuri, nchi ya Gosheni "Muweke baba yako na ndugu zako katika nchi ya Gosheni, ambayo ni sehemu bora zaidi" # Ikiwa unafahamu watu wenye uwezo miongoni mwao Inasemekana ya kwamba walikuwa na uwezo wa kuchunga wanyama. "Kama unawajua wanamume wowote miongoni mwao wenye uwezo wa kutunza mifugo"