sw_tn/gen/45/24.md

20 lines
510 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# msijemkagombana
Maana zaweza kuwa 1) "msibishane" na 2) "msiwe na hofu"
# Wakapanda kutoka Misri
Ilikuwa kawaida kutumia neno "panda" kuzungumzia safari ya kutoka Misri kwenda Kaanani.
# ndiye mtawala juu ya nchi yote ya Misri
Hapa "nchi ya Misri" ina maana ya watu wa Misri. "anatawala watu wote wa Misri"
# moyo wake ulishikwa na mshangao
Hapa "moyo" ina maana ya mtu mzima. "na alishtuka" au "na alishangazwa sana"
# hakuwaamini walichomuambia
"hakupokea kile walichosema kilikuwa ni cha kweli"