# msijemkagombana Maana zaweza kuwa 1) "msibishane" na 2) "msiwe na hofu" # Wakapanda kutoka Misri Ilikuwa kawaida kutumia neno "panda" kuzungumzia safari ya kutoka Misri kwenda Kaanani. # ndiye mtawala juu ya nchi yote ya Misri Hapa "nchi ya Misri" ina maana ya watu wa Misri. "anatawala watu wote wa Misri" # moyo wake ulishikwa na mshangao Hapa "moyo" ina maana ya mtu mzima. "na alishtuka" au "na alishangazwa sana" # hakuwaamini walichomuambia "hakupokea kile walichosema kilikuwa ni cha kweli"