sw_tn/gen/45/07.md

24 lines
903 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# kuwahifadhi kama masalia duniani
"ili kwamba wewe na familia yenu msipotee kutoka duniani" au "kuhakikisha vizazi vyako vinaendelea kuishi"
# kuwaweka hai kwa ukombozi mkuu
Nomino inayojitegemea "ukombozi" inaweza kuwekwa kama "kuokoa". "kukuweka hai kwa kuwaokoa kwa njia ya juu"
# amenifanya baba kwa Farao
Yusufu kumshauri na kumsaidia Farao inazungumziwa kana kwamba Yusufu alikuwa baba wa Farao. "amenifanya niwe kiongozi kwa Farao" au "amenifanya kuwa mshauri mkuu kwa Farao"
# nyumba yake yote
Hapa "nyumba" ina maana ya watu wanaoishi ndani ya kasri yake. "miongoni mwa nyumba yake yote" au "kati ya wote wa kasri yake"
# mtawala wa nchi yote ya Misri
Hapa "nchi" ina maana ya watu. "mtawala juu ya watu wote wa Misri"
# mtawala
Hapa Yusufu anamanisha ya kwamba yeye ni mtawala katika nafasi ya pili kutoka kwa Farao, mfalme wa Misri. Taarifa hii inayoeleweka inaweza kuwekwa wazi.