forked from WA-Catalog/sw_tn
48 lines
1.8 KiB
Markdown
48 lines
1.8 KiB
Markdown
|
# Kwa hiyo
|
||
|
|
||
|
Hii haimaanishi "katika kipindi hiki" lakini inatumika hapa kuvuta nadhari kwa lengo muhimu linalofuata.
|
||
|
|
||
|
# basi, nitapokuja ... huzuni ya kuzimu
|
||
|
|
||
|
Yuda anaelezea kwa Yusufu suala la ukweli lakini la kubuni ambalo linatarajiwa kutokea kwa Yakobo atakaporudi bila Benyamini.
|
||
|
|
||
|
# nitapokuja kwa mtumishi wako
|
||
|
|
||
|
Hapa "nitakapokuja" inaweza kutafsiriwa kama "kwenda" au "kurudi".
|
||
|
|
||
|
# kijana hayupo nasi
|
||
|
|
||
|
"kijana hayupo pamoja nasi"
|
||
|
|
||
|
# kwa kuwa uhai wake umefungamanishwa katika uhai wa kijana
|
||
|
|
||
|
Baba anasema ya kwamba atakufa iwapo mwanawe atangekufa inazungumziwa kana kwamba maisha yao mawili yaliunganishwa pamoja kimwili. "kwa maana alisema angekufa iwapo kijana hangerudi"
|
||
|
|
||
|
# itakuwa
|
||
|
|
||
|
Yuda anazungumzia kuhusu suala la kubuni katika wakati wa mbele kana kwamba ingetokea kweli.
|
||
|
|
||
|
# watumishi wako watazishusha mvi za mtumishi wako baba yetu kaburini kwa masikitiko
|
||
|
|
||
|
"watazishusha ... Kuzimu" ni njia ya kusema watasababisha afariki na kushuka Kuzimu. Anatumia neno "shuka" kwa sababu iliaminika Kuzimu ilikuwa sehemu ya chini. "kisha mtanisababisha, mtu mzee, kufa kwa huzuni"
|
||
|
|
||
|
# watumishi wako
|
||
|
|
||
|
Yuda anajitambulisha mwenyewe na ndugu zake kama "watumishi wako". Hii ni njia rasmi ya kuzungumza na mtu mwenye mamlaka zaidi. "Nasi, watumishi wako" au " Na sisi"
|
||
|
|
||
|
# mvi za mtumishi wako baba yetu
|
||
|
|
||
|
Hapa "mvi" ina maana ya Yakobo na inasisitiza umri wake mkubwa. "baba yetu mzee"
|
||
|
|
||
|
# Kwani mtumishi wako alikuwa mdhamini wa kijana kwa baba yangu
|
||
|
|
||
|
Nomino hii inayojitegemea "mdhamini" inaweza kuwekwa kama kitenzi "aliahidi". "Maana nimuahidi baba yangu kuhusu kijana huyu"
|
||
|
|
||
|
# Kwani mtumishi wako
|
||
|
|
||
|
Yuda anajitambulisha kama "mtumishi wako". "Kwa maana mimi, mtumishi wako" au "Kwa maana mimi"
|
||
|
|
||
|
# ndipo nitakapokuwa mwenye hatia kwa baba yangu
|
||
|
|
||
|
Kuchukuliwa mwenye hatia inazungumziwa kana kwamba "hatia" ilikuwa kitu ambacho mtu hubeba. "kisha baba yangu anaweza kunilaumu"
|