forked from WA-Catalog/sw_tn
36 lines
1.3 KiB
Markdown
36 lines
1.3 KiB
Markdown
|
# Maelezo ya Jumla:
|
||
|
|
||
|
Yuda anaendelea kuzungumza mbele ya Yusufu.
|
||
|
|
||
|
# Nasi tukamwambia bwana wangu, 'Tunaye baba ... baba yake anampenda.'
|
||
|
|
||
|
Hii ni nukuu ndani ya nukuu. Inaweza kuwekwa kama nukuu isiyo moja kwa moja. "Nasi tukamwambia bwana wetu ya kwamba tuna baba ... baba yake anampenda"
|
||
|
|
||
|
# tukamwambia bwana wangu
|
||
|
|
||
|
Yuda anamtambua Yusufu kama "bwan wangu". Hii ni njia rasmi ya kuzungumza na mtu mwenye mamlaka makubwa. "tulisema kwako, bwana wangu"
|
||
|
|
||
|
# baba yake anampenda
|
||
|
|
||
|
Hii ina maana ya upendo kwa rafiki au mmoja wa familia.
|
||
|
|
||
|
# Nawe ukawambia watumishi wako, 'Mleteni ili nimwone.'
|
||
|
|
||
|
Hii ni nukuu ndani ya nukuu. Inaweza kuwekwa kama nukuu isiyo moja kwa moja. "Nawe ukasema kwa mtumishi wako ya kwamba tunapaswa kumleta ndugu yetu mdogo kwako ili uweze kumuona"
|
||
|
|
||
|
# Nawe ukawambia watumishi wako
|
||
|
|
||
|
Yuda anajitambulisha mwenyewe na ndugu zake kama "watumishi wako". "Kisha ulisema kwetu, watumishi wako"
|
||
|
|
||
|
# Mleteni ili nimwone
|
||
|
|
||
|
Ilikuwa kawaida kutumia neno "chini" pale ilipozungumziwa safari ya kutoka Kanaani kwenda Misri. "Mleteni kwangu"
|
||
|
|
||
|
# Baada ya hapo, tukamwambia bwana wangu, 'Kijana hawezi ... baba yake angekufa.'
|
||
|
|
||
|
Hii ni nukuu ndani ya nukuu. Inaweza kuwekwa kama nukuu isiyo moja kwa moja. "Kwa kujibu, tulisema kwa bwana wangu ya kwamba kijana hawezi ... baba yake angekufa"
|
||
|
|
||
|
# baba yake angekufa
|
||
|
|
||
|
Inadokezwa ya kwamba baba yao angekufa kwa huzuni.
|