sw_tn/gen/44/01.md

24 lines
527 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla:
Hii inaanza sehemu mpya ya tukio katika simulizi. Inawezekana hii ni asubuhi iliyofuata baada ya sherehe.
# msimamizi wa nyumba yake
"msimamizi" alikuwa na wajibu wa kusimamia matukio ya nyumba ya Yusufu.
# pesa ya kila mtu
Pesa yao ilikuwa sarafu za fedha yawezekana ndani ya mfuko mdogo.
# katika mdomo wa gunia lake
"katika gunia lake"
# Uweke kikombe changu, cha fedha
"Weka kikombe changu cha fedha"
# katika mdomo wa gunia la mdogo
Neno "ndugu" linaeleweka. "ndani ya gunia la ndugu mdogo"