# Maelezo ya Jumla: Hii inaanza sehemu mpya ya tukio katika simulizi. Inawezekana hii ni asubuhi iliyofuata baada ya sherehe. # msimamizi wa nyumba yake "msimamizi" alikuwa na wajibu wa kusimamia matukio ya nyumba ya Yusufu. # pesa ya kila mtu Pesa yao ilikuwa sarafu za fedha yawezekana ndani ya mfuko mdogo. # katika mdomo wa gunia lake "katika gunia lake" # Uweke kikombe changu, cha fedha "Weka kikombe changu cha fedha" # katika mdomo wa gunia la mdogo Neno "ndugu" linaeleweka. "ndani ya gunia la ndugu mdogo"