sw_tn/gen/43/11.md

32 lines
779 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Kama ni hivyo, basi fanyeni hivi
"Iwapo huu ni uchaguzi wetu pekee, basi fanyeni"
# Mchukulieni
Ilikuwa kawaida kutumia neno "chini" katika kuzungumzia safari ya Kaanani kwenda Misri.
# malhamu
kitu chenye mafuta chenye harufu tamu kinachotumiwa kwa ajiliya kuponya na kulinda ngozi. "dawa"
# viungo
vikolezo
# jozi
karanga ndogo, itokayo kwenye mti wa kijani
# lozi
karanga ya mti yenye ladha tamu
# Chukueni pesa mara mbili mikononi mwenu
Hapa "mkononi" ina maana ya mtu mzima. "Chukua mara mbili ya pesa pamoja nawe"
# Pesa iliyorudishwa katika magunia yenu, muichukue tena katika mikono yenu
Hapa "mikononi" ina maana ya mtu mzima. Msemo wa "iliyorudishwa" unaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "pesa iliyowekwa kwenye magunia yenu na mtu, muirudishe Misri"