sw_tn/gen/42/35.md

16 lines
366 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Ikawa
Msemo huu unatumika hapa kuweka alama kwa tukio muhimu katika simulizi.
# tazama
"kwa mshangao wao". Neno "tazama" hapa inaonyesha ya kwamba ndugu walishangazwa kwa kile walichokiona.
# Mmeniharibia watoto wangu
"umeninyima watoto wangu" au "umesababisha kupoteza watoto wangu wawili"
# Mambo haya yote ni kunyume changu
"mambo haya yote yaliniumiza"