# Ikawa Msemo huu unatumika hapa kuweka alama kwa tukio muhimu katika simulizi. # tazama "kwa mshangao wao". Neno "tazama" hapa inaonyesha ya kwamba ndugu walishangazwa kwa kile walichokiona. # Mmeniharibia watoto wangu "umeninyima watoto wangu" au "umesababisha kupoteza watoto wangu wawili" # Mambo haya yote ni kunyume changu "mambo haya yote yaliniumiza"