sw_tn/gen/42/33.md

16 lines
315 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# bwana wa nchi
"bwana wa Misri"
# chukueni chakula kwa ajili ya njaa katika nyumba zenu
Hapa "nyumba" ina maana ya "familia". "chukua nafaka isaidie familia yenu wakati wa njaa"
# mwondoke
"nendeni nyumbani" au "ondokeni"
# na mtafanya biashara katika nchi
"na nitawaruhusu mnunue na kuuza katika nchi hii"