# bwana wa nchi "bwana wa Misri" # chukueni chakula kwa ajili ya njaa katika nyumba zenu Hapa "nyumba" ina maana ya "familia". "chukua nafaka isaidie familia yenu wakati wa njaa" # mwondoke "nendeni nyumbani" au "ondokeni" # na mtafanya biashara katika nchi "na nitawaruhusu mnunue na kuuza katika nchi hii"