sw_tn/gen/42/12.md

20 lines
424 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Akawambia
"Yusufu akawaambia ndugu zake"
# Hapana, mmekuja kuangalia sehemu za nchi
Maana kamili inaweza kuwekwa wazi. "Hapana, mmekuja kujua ni wapi hatujalinda nchi yetu ili kwamba muweze kutuvamia"
# ndugu kumi na wawili
"ndugu 12"
# Tazama, mdogo
"Tusikilize, mdogo". Neno "Tazama" linatumika kusisitiza kile walichosema baadae.
# mdogo yupo na baba yetu leo hii
"kwa sasa ndugu yetu mdogo yupo na baba yetu"