# Akawambia "Yusufu akawaambia ndugu zake" # Hapana, mmekuja kuangalia sehemu za nchi Maana kamili inaweza kuwekwa wazi. "Hapana, mmekuja kujua ni wapi hatujalinda nchi yetu ili kwamba muweze kutuvamia" # ndugu kumi na wawili "ndugu 12" # Tazama, mdogo "Tusikilize, mdogo". Neno "Tazama" linatumika kusisitiza kile walichosema baadae. # mdogo yupo na baba yetu leo hii "kwa sasa ndugu yetu mdogo yupo na baba yetu"